Social Icons

Wednesday, April 16, 2014

MRISHO MPOTO ACHOKA KUTEMBEA KWA MIGUU NA PEKU..!! AAMUA KUNUNUA GARI YA HESHIMA..!! TAZAMA HAPA PICHA


Msanii wa Muziki na Sanaa Hapa Nchini Mrisho Mpoto aliweza kuweka historia ya pekee ya Kutembea Bila ya Kuvaa Viatu pale popote aendapo. sasa Sijui msimamo huo umekwenda wapi hii ni mara tu alipoamua Kununua Gari na si Gari tu Gari la Kifahari laheshima kiukweli.....

Tazama Picha Chini hapa

No comments:

Post a Comment