afadhali ya babu wa Loliondo yeye hakuiba, bali watu walipeleka kwa hiari yao. KULIKO HAWA MAJAMBAZI WALIOKO HAPA DODOMA SASA HIVI ETI WANAJIITA WAHESHIMIWA, WAKIPIGANA VIJEMBE KWA KUIBA PESA ZETU KWA MANUFAA YAO BINAFSI WAKATI SISI WALIPA KODI TUNAZIDI KUANGAMIA NA UMASKIINI. HIVI WATANZANIA TUKO WAPI? HII NI KATIBA YA CHAMA FULANI AU KATIBA YA NCHI? TUTAKUJA AMKA WAKATI MCHWA WAMEMALIZA RASILIMALI ZOTE.
afadhali ya babu wa Loliondo yeye hakuiba, bali watu walipeleka kwa hiari yao. KULIKO HAWA MAJAMBAZI WALIOKO HAPA DODOMA SASA HIVI ETI WANAJIITA WAHESHIMIWA, WAKIPIGANA VIJEMBE KWA KUIBA PESA ZETU KWA MANUFAA YAO BINAFSI WAKATI SISI WALIPA KODI TUNAZIDI KUANGAMIA NA UMASKIINI.
ReplyDeleteHIVI WATANZANIA TUKO WAPI? HII NI KATIBA YA CHAMA FULANI AU KATIBA YA NCHI?
TUTAKUJA AMKA WAKATI MCHWA WAMEMALIZA RASILIMALI ZOTE.