ya mtoto wa kiume kwenye familia yake kwani uzoefu umeonesha kuwa watoto wa kiume wakikua hudai kupata mirathi kutoka kwa wazazi wao . Alisema kinyume chake watoto wa jinsia ya kike wakikua watamuongezea utajiri wa mifugo atakapolipwa mahari ili waolewe na baada ya kuolewa hawawi mzigo tena kwenye familia yake bali mzigo huo huhamia kwenye familia atakayoolewa. Mtoto huyo aliokolewa na majirani baada ya kusikia kilio. Mama wa mtoto huyo Elizabeth Paulo alisema, mume wake alikuwa akimtesa sana mtoto wake akimbagua kwa vile yeye ni wa jinsia ya kiume na kwamba hana faida kwake.
Wednesday, April 16, 2014
UKATILI! MZAZI AMTUPA MWANAWE USIKU ILI ALIWE NA FISI
ya mtoto wa kiume kwenye familia yake kwani uzoefu umeonesha kuwa watoto wa kiume wakikua hudai kupata mirathi kutoka kwa wazazi wao . Alisema kinyume chake watoto wa jinsia ya kike wakikua watamuongezea utajiri wa mifugo atakapolipwa mahari ili waolewe na baada ya kuolewa hawawi mzigo tena kwenye familia yake bali mzigo huo huhamia kwenye familia atakayoolewa. Mtoto huyo aliokolewa na majirani baada ya kusikia kilio. Mama wa mtoto huyo Elizabeth Paulo alisema, mume wake alikuwa akimtesa sana mtoto wake akimbagua kwa vile yeye ni wa jinsia ya kiume na kwamba hana faida kwake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment